Indirimbo ya 317 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Sisi tuliokoka na tunashangilia, twapita unlimwengu na tuna amani.
2
Mwapenda vya dunia mbona hamvishibe, hata wababu zenu hawakuviweza.
3
Dunia itaisha na vyote vilivyomo. Nyumba na mashamba, akili na pombe.
4
Vinavyowadanganya havitawaokoa, vitakuwa majivu, arudipo Bwana.
5
Na wenye roho ngumu, tuwafanyie nini? Mbona tunawaonya na mnakataa?
6
Hatuna la kufanya, tutahamia mbingu. Tunasikitika ju’ ya wenye dhambi.
7
Tutakwenda mbinguni, kuona wateule, vijana ‘takatifu waliotakaswa.
8
Tutashirikiana na makabila tena, ila waliotubu na kuoshwa na Yesu.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 317 mu Nyimbo za wokovu