Indirimbo ya 222 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Bwana Yesu anasema: “Dhaifu wewe sana. Mimi ni mchunga mwema”. Na kwa hiyo namwandama.
Yesu alikufa kwa ajili yangu, aliziondoa dhambi, furaha kubwa kwangu!
2
Pendo la Mwokozi wangu limeyeyusha moyo. Ametoa dhambi zangu na kiburi na uchoyo.
3
Sina kitu mkononi cha kunifaidia; udhaifu u moyoni, Yesu ninamlilia.
4
Mungu akisaidia nitamaliza mwendo. “Yesu alinifilia”, nitaimba huko ng’ambo.
5
Siku moja nitafika mbinguni huko juu, nitaimba kadhalika shukrani kuu.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 222 mu Nyimbo za wokovu