Indirimbo ya 336 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Kisimani kwa yordani Bwana Yesu alishuka. Toka mji Galilaya mpaka Yordani abatizwe
Naja nibatizwe Nibatizwe nawe Mbatizaji
2
Kisimani kwa yordani amebatizwa Mwokozi. Utukufu wa mbinguni wamshuhudia Mwana
3
Kisimani kwa yordani, maajabu toka Mungu. Tazama toka mbinguni, Roho amjia Mwana
4
Kisimani kwa yordani, hapa Baba, Mwana, Roho. Wanitangulia mbele, nami nyuma nafuata
5
Kisimani kwa yordani, mtu wa kale Akafa. Nimefufuka na Kristo, kati usafi na pendo.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 336 mu Nyimbo za wokovu