Indirimbo ya 53 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Kati’ mikono yake Yesu ananilinda. Katika pendo kubwa ninapumzika sana. Sasa sauti nzuri itokeayo juu inanikumbukia mbingu na raha yake.
Kati’ mikono yake Yesu ananilinda. Katika pendo kubwa ninapumzika sana.
2
Kati’ mikono yake nitakaa daima, sitatetema tena, yeye ni uwezo wangu. Shaka sinayo sasa, wala sioni woga, hata ikiwa shida, Yesu anifariji.
3
Yesu Mwokozi wangu alikombo mimi, Ufa wa mwamba ule, nitapumzika humo. Katika saa ngumu ya majaribu tele ninasaburi’ona jua la asubuhi.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 53 mu Nyimbo za wokovu