Indirimbo ya 349 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Kuna mji mzuri sana huko juu Mbinguni, mji ule, mji mwenye uzima
(Mji ule), wachache wanao ingia (Kuingia). Wale wasio jichafua katika dunia (wauwaji) wowote hata na wongo wote hata na wizi wote vijana wachafu wote hawatauingia mji wenye uzima.
2
Kama nitakuja kuingia mji mwenye uzima Nitakuja, nitakuja kweli kufurahi
3
Na mimi niingie ule mji wenye uzima. Mji ule, mji ule, ule wenye uzima.
4
Bwana ninakuomba wewe uwe Mwokozi wangu, Niokowe, niokowe nami ‘taingia.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 349 mu Nyimbo za wokovu