Indirimbo ya 208 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Piga makengele ya furaha leo kwa sababu mtu ametubu! Mwana mpotevu amerudi sasa, baba amemsamehe yote.
2
Nyimbo za furaha ya mbinguni, Nyimbo za furaha ya wakristo! Tuna’sifu Mungu kwa sababu sasa mtu huyu amwamini Yesu.
3
Piga makengele, ni furaha nyingi; mkosaji amefunguliwa! Yesu alivunja minyororo yake, alimpa roho ya kimwana.
4
Piga makengele! Hiyo ni habari yakupasha mbali na karibu. Mtu amepata kuwa mtu mpya, dhambi zake zimeondolewa!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 208 mu Nyimbo za wokovu