Indirimbo ya 68 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Mbinguni kwa Mwkozi wangu mwema nitaamka asubuhi moja, Nitayaona majeraha yake, sauti yake nitaisikia.
2
Makao ya milele ni tayari, ali’waandalia watu wake. Tutamsifu Yesu sana huko, aliyetuokoa na hatari.
3
Na nyimbo za wokovu zinaimbwa mbinguni mbele ya Mwokozi wetu; tungesikia huku nusu ndogo, vitani tungepata ushujaa.
4
Lakini Yesu yupo nasi leo, usiku kama moto mbele yetu. Na neno lake, ni upanga wetu, ahadi ni safina ju’ ya maji.
5
Tungoje Yesu siku chache tena! Twakaribia mwisho wa safari. Tungoje asubuhi huko juu! Atatukaribisha Bwana Yesu!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 68 mu Nyimbo za wokovu